Habari BURE
�BIDHAA YA KILIMO BORA SANA
�INAKUFIKIA ULIPO TANZANIA
�HII TUNAITA TONE LA MAAJABU
MKULIMA INUA KILIMO CHAKO
01/02/2015
Unaweza kuwa hauna furaha katika maisha lakini wapo ambao wanafurahi kwasababu wewe upo"
Katika maisha unaweza kumkuta mtu hana furaha kutokana na changamoto za maisha anazopitia, lakini kwa wakati huo huo kuna watu ambao wapo na wanafuraha kwasababu wewe umekuwa sababu ya furaha waliyonayo kwamfano familia yako inayokutegemea, watoto wako ambao hufurahi na kucheza wakati wote kutokana na kula vizuri, na kulala vizuri huku wakipata mapenzi ya Baba na Mama, ni jambo la kumshukuru Mungu k**a kuna watu wanapata faraja au furaha kwasababu yako hata k**a wewe hauna furaha.
Video hii inaonesha jinsi kuku wanavyoongezewa mabaki ya uchafu wa nyama za mifugo kwa kusudi la kuwaongezea unene, Hii imekuwa ni kawaida ndani ya mikoa maarufu k**a Dar es salaam,Mwanza,Kilimanjaro,Arusha,Morogoro na mingine mingi. Habari bure waliongea na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Chakula hata hivyo hatukupata ushirikiano wake kwa bahati nzuri tulimpata Msaidizi wake hata hivyo majibu yake hayakukata kiu,hata baada ya kuonyesha kuwa kitu kinachoongelewa kuwa ni kigeni masikioni mwake.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the public figure
Telephone
Website
Address
Nyegezi Mwanza
Mwanza
0688811874