Team Invention
Graphics Designs
19/03/2023
Jumapili ikawe njema sana kwetu, kwa familia zetu, ndugu zetu, marafiki zetu, majirani zetu na wote kwa ujumla.
Mungu wetu atumiminie kila lililo jema kwa kila mmoja wetu kadiri ya mapenzi na huruma yake.
19/09/2022
Mwezi wa kumi Ni mwezi wa Mama Bikira Maria, tunaarikwa sote kujiandaa vyema ju ya mafungo na matembezi ya Hija sambamba na kusali Rozari.
20.09.2022, saa 5.00 Asubhui, *96.1* Radio Sauti Mwanza kutakuwa na kipindi maalumu cha kuelezea namna Hija hiyo itakavyofanyika, kikiongozwa na Kwaya ya MT. BENEDICTO kupitia Katibuwa Kwaya hiyo Benedicto Mayalla .mc .
💥💥💥Usikose kusikiliza.
'No matter what happens, no matter how far you seem to be away from where you want to 'No matter what happens, no matter how far you seem to be away from where you want to be.
Never stop BELIEVING that you will somehow MAKE IT.'
-TRUST GOD.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Sahara
Mwanza