Genius Pro Max
Professional Blogger |Artist | Entrepreneur |Artists Manager |First Born |All we are equal but not the same
21/05/2026
“Pembeni wananisaliti ila Moyoni mwao nimo”
When 2 Genius met
✍️ .kiraka
.baba_ Anakuambia Karibu sana Kilakitukipo General Supply⚡
Tunakuuzia bidhaa bora na za kisasa za nyumbani, ofisini au kiwandani kwako 🔥
🛋 Home Appliances
📺 Electronics
🍳 Kitchen Appliances
🛠 Tools
⚙️ Machinery
💻 Computer & Accessories
Kilakitukipo ni Wauzaji na wasambazazaji wa:-
TV's, Fridge, Sound system, Solar system, Generator Size zote, Tools like Chain saws, Earth Auger, Vacuum cleaners, Drill Machine, Camera, Computer, UPS backup systems, Power stations (Solarthon), Power Tiller, Projector, CCTV Camera Security system, AC & Fans
Bila kusahau Kitchen Appliances like Majiko ya kisasa ya Umeme na Gesi, Blender and Juicers, Microwave and Oven, Food Dehydrator, Heater aina zote, Pressure cooker, Rice Cooker N.k
Bei zetu ni nzuri • bidhaa zina Ubora wa uhakika • Huduma ni bora kwa wateja 🙌
📍Tunapatikana Kariakoo, Mtaa wa Tandamti na Muheza
📞 0763 251 378, 0780542056
🚚 Tunafanya Delivery kote Tanzania.
🎤 KING & QUEEN OF HIP HOP TANZANIA 🇹🇿
(Mfalme na Malkia wa Hip Hop Tanzania)
Hili ni jukwaa maalum lililoanzishwa kwa lengo la kuibua, kukuza na kuendeleza vipaji vya Hip Hop kwa vijana wa Kitanzania kutoka mitaani hadi kwenye kiwango cha kitaifa.
Mashindano haya yatafanyika katika kila mkoa nchini Tanzania, ambapo washindi wawili (King & Queen) watapatikana. Baada ya hapo, washindi kutoka mikoa yote watakutana kwenye hatua ya kitaifa kupambana hadi kupatikana Mfalme na Malkia wa Hip Hop Tanzania.
🏆 Zawadi nono na fursa mbalimbali zitatolewa kwa washindi katika kila hatua ya mashindano.
🤝 Chini ya udhamini wa:
KILAKITUKIPO GENERAL Supply
📍 Kariakoo – Mtaa wa Tandamti na Muheza, Dar es Salaam
📲 Jinsi ya Kushiriki:
Tuma video fupi ukiwa unarap (rap) kupitia WhatsApp kwenda:
📞 0780 542 056
⏳ Mwisho wa kutuma ni tarehe 9 Mei 2026 – wahi nafasi yako sasa!
“Onyesha Kipaji Chako, Twaa Taji la Hip Hop”
Mzee Hashim Kambi Hakika mwendo umemaliza.
Umerudi mavumbini. 😭😭😭🕊️
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Mwanza