Simba Plumbing Water Point Service

Simba Plumbing Water Point Service

Share

Fund� wa kufunga mifumo ya maji� baridi na moto pa1 na finishing��� za kisasa kwenye majengo�

30/12/2022

(FKT)



Simba plumbing Water Point Service, Fund👷🏽 makin wa kufunga mifumo ya maji💦 barid na moto kwenye majengo🏘️ mbali mbali,.,Mtu Kaz Uwa silembi wasiliana nami 0763951026 napatikana mkoa wa Shinyanga. Ulipo nipo tayari kwa ajiri yako karibu kwenye mikono sahihi ya kiufundi.
Team works Hapa kazi tu.



🖐plumbing & pipe fitting
Call:0763951026 Voda WhatsApp📲
Call:0714292662 Tigo WhatsApp📲 💎


👇
🚿🛀

13/11/2022

▂ ▄ 🚰Point Service█
❥❥❥═════════❥❥❥





🖐🔥
👉🏽Kuwa wa Kwanza kupata kazi nnazo zifanya
👉🏽Nafunga system ya maji barid na maji moto kwenye majumba🏠🏡.
👉🏽Nafunga sytem ya maji barid kwenye majumba🏠🏡
👉🏽Nafunga heater ya kuchemshia maji ya kuogea.
👉🏽Nafunga storage tank kubwa za maji
👉Nafunga Jakuzz🛀 la kuogea ukiwa umekaa
👉Nafunga wash hand basen,...besen la kunawia mikono.
👉Nafunga kitchen sink,...sink la kuoshea vyombo.
👉Nafunga irrigiration system,...system ya kilimo cha umwagiliaji.
👉Nafunga drainage system.
👉Nafunga tapes & valve za aina yoyote
👉Nafunga urinal bowl
👉Na rekebisha Cock🚰 zinazo dondosha maji ukiwa umefunga.
👉Naziba matenk madogo na makubwa ya maji yaliyo toboka.
👉Narekebisha bomba lolote lilotoboka na kuvujisha maji.
👇
wote support na support zangu ndio ya wanapenda ndio .

👉K**a unahtaji huduma yoyote kat ya hiz kutoka kwa👇
Simba Plumbing Water Point Service fanya kunchek magic fingers🖐 nkushangaze😲
Motooo mpyaaa🔥🔥🔥
🖐
Call:0763951026📲
Made in Shinyanga.

🙌

👇
🚿🛀🚽🔵🔴

Want your business to be the top-listed Contractor in Shinyanga?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


DOME NDEMBEZI
Shinyanga