JOTV

JOTV

Share

-Hii ni page ya Mashabiki wote wanaopenda mpila wa miguu wa Tanzania na Habari za Michezo kiujumla.

31/07/2023

kutoka kwenye Mahojiano kati ya msemaji wa simba Ahmed ali na wasafi media ameweza kusema kuwa bado yanga wana wachezaji 17 wakigeni ambao wapo avici town ambao na idadi hiyo wakiwemo Gael Brigimana aka EPL boy na Kambole.

30/07/2023

Fiston Mayele Atambulishwa na Klabu ya Pyaramids kutoka yanga kupitia mtandao wao wa instagram k**a ilivyoandikwa "From the land of leopards.One set loose.New preys to hunt.Another forest to race through."

29/07/2023

Manchester United watalipa Atalanta kiasi cha €75m + €10m ya nyongeza kwa ajili ya Rasmus Hojlund. Mshambuliaji wa miaka 20 kutoka Denmark amekubali mkataba wa miaka 5+1 - bado mkataba unahitaji kuthibitishwa. walikuwa wakitafuta €90m, lakini wamefanikisha mpango wenye thamani ya €85m

29/07/2023

Klabu ya Yanga Sc imemtambulisha straika wa kighana Hafizi Konkoni kutoka Bechem United Ya Ghana kupitia mtandao wao wa instagram k**a ilivyoandikwa "Karibu Young Africans SC Hafiz Konkoni 🔰"

29/07/2023

Azam Fc imemtambulisha Yannick Bangala Kuwa mchezaji wao kwa mkataba wa miaka mwili kupitia ukarasa wao wa instagram wameandika k**a ifuatavyo "Tumefikia makubaliano na klabu ya Yanga ya kumnunua, mchezaji kiraka, na amesaini mkataba wa miaka miwili baada ya kufuzu vipimo vya afya.Bangala karibu Mbagala! ⚪️🔵🍦"

Taarifa hii imetolewa baada ya yanga Kutangaza kuachana na Bangala kwa kumpa Thank you.

29/07/2023

Yannick Bangala Litambo apewa thank you,Na klabu ya Yanga Sc aliyokuwa anaitumikia,Bangala litambo alikuwa moja kati ya wachezaji ambao waliifikisha yanga katika hatu mbalimbali za ubingwa katika makombe walioshiriki msimu uliyopita taarifa zandani zinamuhusisha yannick bangala kuondolewa na Yanga kutokana na kuhusishwa na vitendo vya kuuza mechi kwenye moja ya derby zidi ya waasimu wao Simba sc taarifa hizi huenda zisiwe na mashiko ila ni moja ya maelezo ambayo yana wafanya Yanga Kufanya uaamuzi huo, aidha yanga kupitia ukurasa wao wa Instagram wametoa shukrani kwa muda wote aliokuwa nao klabuni hapo na kumtakia kira kheri kule aendako.

Want your business to be the top-listed Media Company in Shinyanga?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


Shinyanga
1313