Swahili show, Sagal Radio

Swahili show, Sagal Radio

Share

Swahili Show on Sagal Radio serves the mission of educating and empowering the New Americans as well

Photos from Planes Radio's post 12/04/2020

BREAKING NEWS,KENYAN MP DIES

Photos from Swahili show, Sagal Radio's post 03/04/2018

MVUA YASABABISHA MSONGAMANO MKUBWA WA MAGARI KENYA.
By Michael Mutinda

Wasafiri na abiria nchini kenya wametaabiki leo kwa zaidi ya saa kumi na tano kufuatia msongamano mkubwa wa magari kwenye barabara kuu ya mombasa kwenda katika jiji kuu la taifa hilo nairobi.

Msongamano huo ulioanza jumamosi usiku baada ya ajali iliyotokea mjini athirive baina ya gari ndogo na lori ambapo mtu mmoja alipoteza maisha ulizidishwa na mvua kubwa inayoendelea kushuhudiwa katika maeneo mbalimbali mwa taifa hilo.

Hata hivyo maafisa wa polisi wa trafiki kutoka kaunti ya mcahakos walifanikiwa kufungua msongamano japo baada ya muda mrefu.
Barabara ya Mombasa Nairobi ni mojawapo ya barabara zenye magari mengi zaidi nchini kenya na ni muhimu kwani inaunganisha pwani ya nchi hiyo na makao makuu ya taifa la kenya na wembamba wake umekuwa sababu kuu za misongamano kila wakati sasa ikitarajiwa kupanuliwa karibuni baada ya taifa la kenya kuweka sahihi na serikali ya marekani itakayopanua barabara hiyo.

Want your business to be the top-listed Media Company in Decatur?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


4151 Memorial Drive
Decatur, GA
30032